Luke 1:80
Yule mtoto akakua na kuongezeka nguvu katika roho; akaishi nyikani hadi siku ile alipojionyesha hadharani kwa Waisraeli.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Judges 13:24Yule mwanamke akazaa mtoto wa kiume akamwita jina lake Samsoni. Kijana akakua, naye Bwana akambariki.
Matthew 3:1Siku hizo Yohana Mbatizaji alikuja akihubiri katika nyika ya Uyahudi, akisema,
Mark 1:3“sauti ya mtu aliaye nyikani. 1 ‘Itengenezeni njia ya Bwana, 2 yanyoosheni mapito yake.’ ”
Luke 2:40Naye yule mtoto akakua na kuongezeka nguvu, akiwa amejaa hekima, na neema ya Mungu ilikuwa juu yake. 1 Kijana Yesu Hekaluni
John 1:31Mimi mwenyewe sikumfahamu, lakini sababu ya kuja nikibatiza kwa maji ni ili yeye apate kufunuliwa kwa Israeli.”