Luka 10:12
Ninawaambia, itakuwa rahisi zaidi kwa Sodoma kustahimili katika siku ile kuliko mji ule. 1 Onyo Kwa Miji Isiyotubu (Mathayo 11:20-24)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But I say unto you, that it shall be more tolerable in that day for Sodom, than for that city.
In Context
Cross References
Lamentations 4:6Adhabu ya watu wangu 2 ni kubwa kuliko ile ya Sodoma, 1 ambayo ilipinduliwa ghafula 2 bila kuwepo mkono wa msaada. 1
Matthew 10:15Amin, nawaambia, itakuwa rahisi zaidi kwa miji ya Sodoma na Gomora kustahimili katika hukumu kuliko mji huo. 1 Mateso Yanayokuja (Marko 13:9-13; Luka 21:12-17)
Mark 6:11Kama mahali popote hawatawakaribisha wala kuwasikiliza, mtakapoondoka huko, kungʼuteni mavumbi kutoka kwenye miguu yenu ili kuwa ushuhuda dhidi yao.”