Luka 10:11
‘Hata mavumbi ya mji wenu yaliyoshikamana na miguu yetu, tunayakungʼuta dhidi yenu. Lakini mjue kwamba Ufalme wa Mungu umekaribia.’
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
10Lakini mkiingia katika mji, nao hawakuwakaribisha, tokeni mwende katika barabara zake mkaseme:
Cross References
Matthew 10:14Kama mtu yeyote hatawakaribisha ninyi, wala kusikiliza maneno yenu, kungʼuteni mavumbi kutoka kwenye miguu yenu mtakapokuwa mnatoka kwenye nyumba hiyo au mji huo.
Luke 10:9waponyeni wagonjwa waliomo na waambieni: ‘Ufalme wa Mungu umekaribia.’
Acts 13:40Kwa hiyo jihadharini ili yale waliyosema manabii yasiwapate: 1
Acts 13:51Hivyo Paulo na Barnaba wakakungʼuta mavumbi ya miguu yao ili kuwapinga, nao wakaenda Ikonio.
Romans 10:21Lakini kuhusu Israeli anasema, 1 “Mchana kutwa nimewanyooshea 2 watu wakaidi na wasiotii mikono yangu.”