Luke 10:21
Wakati huo Yesu akashangilia katika Roho Mtakatifu, akasema, “Nakuhimidi Baba, Bwana wa mbingu na nchi, kwa kuwa umewaficha mambo haya wenye hekima na wenye elimu, nawe ukawafunulia watoto wadogo. Naam, Baba, kwa kuwa hivyo ndivyo ilivyokupendeza.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Psalms 8:2Midomoni mwa watoto wachanga na wanyonyao 2 umeamuru sifa, 1 kwa sababu ya watesi wako, 2 kumnyamazisha adui na mlipiza kisasi. 1
Psalms 25:14Siri ya Bwana iko kwa wale wamchao, 2 yeye huwajulisha agano lake. 1
Isaiah 29:18Katika siku ile viziwi watasikia maneno ya kitabu, 2 na katika utusitusi na giza 2 macho ya kipofu yataona. 1
Isaiah 53:11Baada ya maumivu ya nafsi yake, 2 ataona nuru ya uzima na kuridhika; 1 kwa maarifa yake, mtumishi wangu mwenye haki 2 atawafanya wengi kuwa wenye haki, 2 naye atayachukua maovu yao. 1
Isaiah 66:1Hili ndilo asemalo Bwana, 1 “Mbingu ni kiti changu cha enzi, 2 nayo dunia ni mahali pa kuweka miguu yangu. 1 Iko wapi nyumba mtakayoijenga kwa ajili yangu? 2 Mahali pangu pa kupumzikia patakuwa wapi? 1
Matthew 11:25Wakati huo Yesu alisema, “Nakuhimidi Baba, Bwana wa mbingu na nchi, kwa kuwa umewaficha mambo haya wenye hekima na wenye elimu, nawe ukawafunulia watoto wadogo.