Mathayo 11:25
Wakati huo Yesu alisema, “Nakuhimidi Baba, Bwana wa mbingu na nchi, kwa kuwa umewaficha mambo haya wenye hekima na wenye elimu, nawe ukawafunulia watoto wadogo.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
26Naam, Baba, kwa kuwa hivyo ndivyo ilivyokupendeza.
Cross References
Genesis 14:19Naye akambariki Abramu, akisema, 1 “Abarikiwe Abramu na Mungu Aliye Juu Sana, 2 Muumba wa mbingu na nchi. 1
Deuteronomy 10:14Mbingu, hata mbingu za juu sana, dunia na kila kitu kilichomo ndani yake, ni mali ya Bwana Mungu wako.
1 Samuel 3:4Kisha Bwana akamwita Samweli. Samweli akajibu, “Mimi hapa.”
1 Chronicles 29:13Sasa, Mungu wetu, tunakushukuru 2 na kulisifu Jina lako tukufu.
Isaiah 5:21Ole wao walio na hekima machoni pao wenyewe, 2 na kujiona wenye akili machoni pao wenyewe. 1
Isaiah 29:18Katika siku ile viziwi watasikia maneno ya kitabu, 2 na katika utusitusi na giza 2 macho ya kipofu yataona. 1