bible.software › Luke › Luke 10 › Luke 10:23
Luke 10:23
Basi Yesu akawageukia wanafunzi wake akanena nao faraghani, akawaambia, “Heri macho yanayoona yale mambo mnayoyaona.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he turned him unto his disciples, and said privately, Blessed are the eyes which see the things that ye see:
In Context
22“Nimekabidhiwa vitu vyote na Baba yangu. Hakuna mtu amjuaye Mwana ni nani ila Baba, wala hakuna amjuaye Baba ni nani ila Mwana na yeyote ambaye Mwana anapenda kumfunulia.”
24Kwa maana nawaambia, manabii wengi na wafalme walitamani kuona yale mnayoyaona lakini hawakuyaona, na walitamani kusikia yale mnayoyasikia lakini hawakuyasikia.” 1 Mfano Wa Msamaria Mwema
Read all of Luke 10
Cross References
Matthew 13:16Lakini heri macho yenu kwa sababu yanaona, na heri masikio yenu kwa sababu yanasikia.
This Verse In Other Editions
Study Luke 10:23