Matthew 13:16
Lakini heri macho yenu kwa sababu yanaona, na heri masikio yenu kwa sababu yanasikia.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
But blessed are your eyes, for they see: and your ears, for they hear.
In Context
Cross References
Matthew 5:3“Heri walio maskini wa roho, 2 maana Ufalme wa Mbinguni ni wao. 1
Luke 2:29“Bwana Mwenyezi, kama ulivyoahidi, 2 sasa wamruhusu mtumishi wako 2 aende zake kwa amani. 1
John 20:29Yesu akamwambia, “Umeamini kwa kuwa umeniona? Wamebarikiwa wale ambao hawajaona lakini wameamini.” 1 Kusudi La Kitabu Hiki
2 Corinthians 4:6Kwa kuwa Mungu, yeye aliyesema, “Nuru na ingʼae gizani,” ameifanya nuru yake ingʼae mioyoni mwetu ili kutupatia nuru ya maarifa ya utukufu wa Mungu katika uso wa Kristo.