Luke 10:32
Vivyo hivyo, Mlawi mmoja naye alipofika mahali pale, alimwona, akapita upande mwingine, akamwacha hapo barabarani
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
33Lakini Msamaria mmoja aliyekuwa akisafiri alipomwona, alimhurumia.
Cross References
Psalms 109:25Nimekuwa kitu cha kudharauliwa kwa washtaki wangu, 2 wanionapo, hutikisa vichwa vyao. 1
Acts 16:28Lakini Paulo akapiga kelele kwa sauti kubwa, akasema, “Usijidhuru kwa maana sisi sote tuko hapa!”
2 Timothy 3:2Kwa maana watu watakuwa wenye kujipenda wenyewe, wenye kupenda fedha, wenye kujisifu, wenye kiburi, wenye kumkufuru Mungu, wasiotii wazazi wao, wasio na shukrani, wasio watakatifu,