Luke 10:8
“Mkienda katika mji na watu wake wakawakaribisha, kuleni chochote kiwekwacho mbele yenu,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And into whatsoever city ye enter, and they receive you, eat such things as are set before you:
In Context
9waponyeni wagonjwa waliomo na waambieni: ‘Ufalme wa Mungu umekaribia.’
Cross References
Matthew 10:40“Mtu yeyote atakayewapokea ninyi atakuwa amenipokea mimi, na yeyote atakayenipokea mimi atakuwa amempokea yeye aliyenituma.
Luke 10:10Lakini mkiingia katika mji, nao hawakuwakaribisha, tokeni mwende katika barabara zake mkaseme:
1 Corinthians 10:27Kama ukikaribishwa chakula na mtu asiyeamini nawe ukikubali kwenda, kula kila kitu kitakachowekwa mbele yako bila kuuliza maswali kwa ajili ya dhamiri.