Luke 10:9
waponyeni wagonjwa waliomo na waambieni: ‘Ufalme wa Mungu umekaribia.’
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And heal the sick that are therein, and say unto them, The kingdom of God is come nigh unto you.
In Context
8“Mkienda katika mji na watu wake wakawakaribisha, kuleni chochote kiwekwacho mbele yenu,
10Lakini mkiingia katika mji, nao hawakuwakaribisha, tokeni mwende katika barabara zake mkaseme:
Cross References
Matthew 3:2“Tubuni, kwa maana Ufalme wa Mbinguni umekaribia.”
Matthew 10:7Wakati mnapokwenda, hubirini mkisema, ‘Ufalme wa Mbinguni umekaribia.’
Mark 6:13Wakatoa pepo wachafu wengi, wakawapaka wagonjwa wengi mafuta na kuwaponya. 1 Yohana Mbatizaji Akatwa Kichwa (Mathayo 14:1-12; Luka 9:7-9)
Luke 10:11‘Hata mavumbi ya mji wenu yaliyoshikamana na miguu yetu, tunayakungʼuta dhidi yenu. Lakini mjue kwamba Ufalme wa Mungu umekaribia.’
John 3:3Yesu akamjibu, “Amin, amin nakuambia, hakuna mtu anayeweza kuuona Ufalme wa Mungu kama hajazaliwa mara ya pili.”
Acts 28:7Basi karibu na sehemu ile, palikuwa na shamba kubwa la mtu mmoja kiongozi wa kile kisiwa, aliyeitwa Publio. Alitupokea na akatuhudumia kwa ukarimu mkubwa kwa muda wa siku tatu.