Luke 11:16
Wengine ili kumjaribu wakataka awaonyeshe ishara kutoka mbinguni.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And others, tempting him, sought of him a sign from heaven.
In Context
Cross References
Matthew 12:38Kisha baadhi ya Mafarisayo na walimu wa sheria wakamwambia, “Mwalimu, tunataka kuona ishara kutoka kwako.”
Mark 8:11Mafarisayo wakaja, wakaanza kumhoji Yesu. Ili kumtega, wakamwomba awaonyeshe ishara kutoka mbinguni.
1 Corinthians 1:22Wayahudi wanadai ishara za miujiza na Wayunani wanatafuta hekima.