Luke 11:2
Akawaambia, “Mnapoomba, semeni: 1 “ ‘Baba yetu (uliye mbinguni), 1 jina lako litukuzwe, 2 ufalme wako uje. 1 (Mapenzi yako yafanyike 2 hapa duniani kama huko mbinguni.) 1
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
3Utupatie kila siku riziki yetu. 1
Cross References
Leviticus 10:3Kisha Mose akamwambia Aroni, “Hili ndilo alilonena Bwana wakati aliposema: 1 “ ‘Miongoni mwa wale watakaonikaribia 2 nitajionyesha kuwa mtakatifu; 1 machoni pa watu wote 2 nitaheshimiwa.’ ” Aroni akanyamaza.
1 Kings 8:43basi na usikie kutoka mbinguni, mahali pa makao yako, ukafanye lolote ambalo mgeni huyo anakuomba, ili mataifa yote ya dunia wapate kujua jina lako na wakuogope kama wafanyavyo watu wako Israeli nao wapate pia kujua kwamba nyumba hii niliyoijenga imeitwa kwa Jina lako.
2 Chronicles 20:6akasema: “Ee Bwana, Mungu wa baba zetu, si wewe ndiwe uliye Mungu mbinguni? Si wewe ndiwe utawalaye juu ya falme zote za mataifa? Uweza na nguvu viko mkononi mwako, wala hakuna yeyote awezaye kushindana nawe.
Psalms 57:11Ee Mungu, utukuzwe juu mbinguni, 2 utukufu wako na uwe duniani pote.
Psalms 103:20Mhimidini Bwana, enyi malaika zake, 2 ninyi mlio mashujaa mnaozitii amri zake, 2 ninyi mnaotii neno lake. 1
Ecclesiastes 5:2Usiwe mwepesi kuzungumza, 2 usiwe na haraka katika moyo wako 2 kuzungumza lolote mbele za Mungu. 1 Mungu yuko mbinguni 2 nawe uko duniani, 1 kwa hiyo maneno yako 2 na yawe machache. 1