The Bible Software
bible.softwareLukeLuke 11 › Luke 11:3

Luke 11:3

Utupatie kila siku riziki yetu. 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Give us day by day our daily bread.

In Context

2Akawaambia, “Mnapoomba, semeni: 1 “ ‘Baba yetu (uliye mbinguni), 1 jina lako litukuzwe, 2 ufalme wako uje. 1 (Mapenzi yako yafanyike 2 hapa duniani kama huko mbinguni.) 1

4Utusamehe dhambi zetu, 2 kwa kuwa na sisi huwasamehe wote wanaotukosea. 1 Wala usitutie majaribuni 2 (bali utuokoe kutoka kwa yule mwovu).’ ”

Read all of Luke 11

Cross References

Exodus 16:15Waisraeli walipoona, wakaambiana, “Hiki ni nini?” Kwa kuwa hawakujua kilikuwa kitu gani. Mose akawaambia, “Huu ndio mkate ambao Bwana amewapa mle.

Isaiah 33:16huyu ndiye mtu atakayeishi mahali pa juu, 2 ambaye kimbilio lake litakuwa ngome ya mlimani. 1 Atapewa mkate wake, 2 na maji yake hayatakoma. 1

Matthew 6:34Kwa hiyo msiwe na wasiwasi kuhusu kesho, kwa sababu kesho itajitaabikia yenyewe. Yatosha kwa siku masumbufu yake.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Luke 11:3

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Luke 11:2Luke 11Luke 11:4 →