Luke 11:25
Naye arudipo na kuikuta ile nyumba imefagiliwa na kupangwa vizuri,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And when he cometh, he findeth it swept and garnished.
In Context
Cross References
Psalms 36:3Maneno ya kinywa chake ni maovu na ya udanganyifu, 2 ameacha kuwa mwenye hekima na kutenda mema. 1
Psalms 125:5Bali wale wanaogeukia njia zilizopotoka, 2 Bwana atawafukuza pamoja na watenda mabaya. 1 Amani iwe juu ya Israeli.
2 Thessalonians 2:9Kuja kwa yule mwasi kutaonekana kana kwamba ni kutenda kazi kwake Shetani ambaye hutumia nguvu zote, ishara, maajabu ya uongo,
Jude 1:8Vivyo hivyo, hawa waotao ndoto huutia mwili unajisi, hukataa kuwa chini ya mamlaka na kunena mabaya juu ya wenye mamlaka.