The Bible Software
bible.softwareJudeJude 1 › Jude 1:8

Jude 1:8

Vivyo hivyo, hawa waotao ndoto huutia mwili unajisi, hukataa kuwa chini ya mamlaka na kunena mabaya juu ya wenye mamlaka.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Likewise also these filthy dreamers defile the flesh, despise dominion, and speak evil of dignities.

In Context

7Vivyo hivyo, Sodoma na Gomora na pia ile miji iliyokuwa kandokando, ambayo kwa jinsi moja na hao, walijifurahisha kwa uasherati na kufuata tamaa za mwili zisizo za asili, waliwekwa wawe mfano kwa kuadhibiwa katika moto wa milele.

9Lakini hata malaika mkuu Mikaeli alipokuwa anashindana na ibilisi juu ya mwili wa Mose, hakuthubutu kumlaumu, bali alimwambia, “Bwana na akukemee!”

Read all of Jude 1

Cross References

Genesis 3:5Kwa maana Mungu anajua ya kuwa wakati mtakapoyala, macho yenu yatafumbuliwa, nanyi mtakuwa kama Mungu, mkijua mema na mabaya.”

Numbers 16:3Wakaja kama kikundi kuwapinga Mose na Aroni, wakawaambia, “Ninyi mmejitukuza sana! Kusanyiko hili lote ni takatifu, kila mmoja wao, naye Bwana yu pamoja nao. Kwa nini basi mmejitukuza wenyewe juu ya kusanyiko la Bwana?”

Psalms 2:1Kwa nini mataifa wanashauriana kufanya mabaya, 2 na kabila za watu kula njama bure? 1

Proverbs 30:11“Wako watu wale ambao huwalaani baba zao 2 na wala hawawabariki mama zao; 1

Ecclesiastes 10:20Usimshutumu mfalme hata ikiwa ni katika mawazo yako, 2 au kumlaani tajiri katika chumba chako cha kulala, 1 kwa sababu ndege wa angani wanaweza kuchukua maneno yako, 2 naye ndege anayeruka anaweza kutoa taarifa ya yale uliyosema.

Luke 11:25Naye arudipo na kuikuta ile nyumba imefagiliwa na kupangwa vizuri,

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Jude 1:8

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesGeneva Bible Notes (1599)
← Jude 1:7Jude 1Jude 1:9 →