Luke 11:36
Basi ikiwa mwili wako wote umejaa nuru, bila sehemu yake yoyote kuwa gizani, basi utakuwa na nuru kama vile taa ikuangazavyo kwa nuru yake.” 1 Yesu Awashutumu Mafarisayo Na Wanasheria (Mathayo 23:1-36; Marko 12:38-40)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
35Kwa hiyo, hakikisha kwamba nuru iliyoko ndani yako isiwe giza.
Cross References
Psalms 119:97Aha! Tazama, sheria yako naipenda mno ajabu. 2 Ninaitafakari mchana kutwa. 1
Proverbs 2:1Mwanangu, kama utayakubali maneno yangu 2 na kuyaweka akiba maagizo yangu ndani mwako, 1
Proverbs 6:23Kwa maana amri hizi ni taa, 2 mafundisho haya ni mwanga 2 na maonyo ya maadili ni njia ya uzima, 1
Isaiah 8:20Kwa sheria na kwa ushuhuda! Kama hawatasema sawasawa na neno hili, hawana mwanga wa mapambazuko.
Hosea 6:3Tumkubali Bwana, 2 tukaze kumkubali yeye. 1 Kutokea kwake ni hakika kama vile 2 kuchomoza kwa jua; 1 atatujia kama mvua za masika, 2 kama vile mvua za vuli 2 ziinyweshavyo nchi.” 1
Matthew 13:52Akawaambia, “Basi kila mwalimu wa sheria aliyefundishwa elimu ya Ufalme wa Mbinguni ni kama mwenye nyumba anayetoa kutoka ghala yake mali mpya na mali ya zamani.” 1 Yesu Akataliwa Nazareti (Marko 6:1-6; Luka 4:16-30)