The Bible Software
bible.softwareLukeLuke 11 › Luke 11:37

Luke 11:37

Yesu alipomaliza kuzungumza, Farisayo mmoja alimwalika nyumbani mwake kwa chakula. Yesu akaingia na kuketi katika sehemu yake mezani.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And as he spake, a certain Pharisee besought him to dine with him: and he went in, and sat down to meat.

In Context

36Basi ikiwa mwili wako wote umejaa nuru, bila sehemu yake yoyote kuwa gizani, basi utakuwa na nuru kama vile taa ikuangazavyo kwa nuru yake.” 1 Yesu Awashutumu Mafarisayo Na Wanasheria (Mathayo 23:1-36; Marko 12:38-40)

38Yule Farisayo akashangaa kwamba Yesu hakunawa kwanza kabla ya kula.

Read all of Luke 11

Cross References

Luke 14:1Ikawa siku moja Yesu alipokuwa amekwenda kula chakula kwa mmoja wa viongozi wa Mafarisayo siku ya Sabato, watu walikuwa wakimchunguza kwa bidii.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Luke 11:37

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Luke 11:36Luke 11Luke 11:38 →