Luke 11:4
Utusamehe dhambi zetu, 2 kwa kuwa na sisi huwasamehe wote wanaotukosea. 1 Wala usitutie majaribuni 2 (bali utuokoe kutoka kwa yule mwovu).’ ”
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
3Utupatie kila siku riziki yetu. 1
Cross References
Genesis 48:16Malaika ambaye aliniokoa kutoka madhara yote, 2 yeye na awabariki vijana hawa. 1 Na waitwe kwa jina langu 2 na kwa majina ya baba zangu Abrahamu na Isaki, 1 wao na waongezeke kwa wingi 2 katika dunia.”
1 Kings 8:36basi usikie kutoka mbinguni na usamehe dhambi ya watumishi wako, watu wako Israeli. Wafundishe njia sahihi ya kuishi na ukanyeshe mvua juu ya nchi uliyowapa watu wako kuwa urithi.
Psalms 25:18Uangalie mateso na shida zangu 2 na uniondolee dhambi zangu zote. 1
Psalms 51:1Ee Mungu, unihurumie, 2 kwa kadiri ya upendo wako usiokoma, 1 kwa kadiri ya huruma yako kuu, 2 uyafute makosa yangu. 1
Psalms 130:3Kama wewe, Ee Bwana, ungeweka kumbukumbu ya dhambi, 2 Ee Bwana, ni nani angeliweza kusimama? 1
Daniel 9:19Ee Bwana, sikiliza! Ee Bwana, samehe! Ee Bwana, sikia na ukatende! Kwa ajili yako, Ee Mungu wangu, usikawie, kwa sababu mji wako na watu wako wanaitwa kwa Jina lako.” 1 Majuma Sabini