Luke 12:21
“Hivyo ndivyo ilivyo kwa wale wanaojiwekea mali lakini hawajitajirishi kwa Mungu.” 1 Msiwe Na Wasiwasi (Mathayo 6:25-34)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
So is he that layeth up treasure for himself, and is not rich toward God.
In Context
Cross References
Hosea 10:1Israeli alikuwa mzabibu uliostawi sana, 2 alijizalia matunda mwenyewe. 1 Kadiri matunda yake yalivyoongezeka, 2 alijenga madhabahu zaidi; 1 kadiri nchi yake ilivyostawi, 2 alipamba mawe yake ya ibada. 1
Matthew 6:19“Msijiwekee hazina duniani, mahali ambapo nondo na kutu huharibu, nao wevi huvunja na kuiba.
Luke 12:33Uzeni mali zenu mkawape maskini. Jifanyieni mifuko isiyochakaa, mkajiwekee hazina mbinguni isiyokwisha, mahali ambapo mwizi hakaribii wala nondo haharibu.
Romans 2:5Lakini kwa sababu ya ukaidi wenu na mioyo yenu isiyotaka kutubu, mnajiwekea akiba ya ghadhabu dhidi yenu wenyewe kwa siku ile ya ghadhabu ya Mungu, wakati hukumu yake ya haki itakapodhihirishwa.
1 Timothy 6:18Waagize watende mema, wawe matajiri katika matendo mema, pia wawe wakarimu na walio tayari kushiriki mali zao na wengine.
James 5:1Basi sikilizeni, ninyi matajiri, lieni na kuomboleza kwa ajili ya hali mbaya sana inayowajia.