Luka 12:34
Kwa sababu mahali hazina yako ilipo, hapo ndipo moyo wako utakapokuwa pia. 1 Kukesha
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For where your treasure is, there will your heart be also.
In Context
35“Kuweni tayari mkiwa mmevikwa kwa ajili ya huduma na taa zenu zikiwa zinawaka,
Cross References
Philippians 3:20Lakini uenyeji wetu uko mbinguni. Nasi tunamngoja kwa shauku Mwokozi kutoka huko, yaani, Bwana Yesu Kristo,