Luke 12:35
“Kuweni tayari mkiwa mmevikwa kwa ajili ya huduma na taa zenu zikiwa zinawaka,
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Let your loins be girded about, and your lights burning;
In Context
34Kwa sababu mahali hazina yako ilipo, hapo ndipo moyo wako utakapokuwa pia. 1 Kukesha
Cross References
1 Kings 18:46Nguvu za Bwana zikamjia Eliya, naye akajikaza viuno, akakimbia mbele ya Ahabu njia yote hadi maingilio ya Yezreeli.
Isaiah 5:27Hakuna hata mmoja wao anayechoka wala kujikwaa, 2 hakuna hata mmoja anayesinzia wala kulala, 1 hakuna mkanda uliolegezwa kiunoni, 2 hakuna gidamu ya kiatu iliyokatika. 1
Matthew 5:16Vivyo hivyo, nuru yenu iangaze mbele ya watu, ili wapate kuona matendo yenu mema wamtukuze Baba yenu aliye mbinguni. 1 Kutimiza Sheria
Matthew 25:4lakini wale wenye busara walichukua taa zao na mafuta ya akiba kwenye vyombo.
Ephesians 6:14Kwa hiyo simameni imara mkiwa mmejifunga kweli kiunoni na kuvaa dirii ya haki kifuani,
1 Peter 1:13Kwa hiyo, tayarisheni nia zenu kwa kazi; mwe na kiasi, mkitumainia kikamilifu ile neema mtakayopewa Yesu Kristo atakapodhihirishwa.