Luka 12:57
“Kwa nini hamwamui wenyewe lililo haki?
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Yea, and why even of yourselves judge ye not what is right?
In Context
Cross References
Matthew 15:10Yesu akaita ule umati wa watu, akawaambia, “Sikilizeni na mwelewe:
Matthew 21:32Kwa maana Yohana alikuja kwenu kuwaonyesha njia ya haki, lakini hamkumsadiki, lakini watoza ushuru na makahaba wakamsadiki. Nanyi hata mlipoona hayo, baadaye hamkutubu na kumsadiki. 1 Mfano Wa Wapangaji Waovu (Marko 12:1-12; Luka 20:9-19)
John 7:24Acheni kuhukumu mambo kwa jinsi mnavyoona tu, bali hukumuni kwa haki.” 1 Je, Yesu Ndiye Kristo?
Acts 13:26“Ndugu zangu, wana wa Abrahamu, nanyi watu wa Mataifa mnaomcha Mungu, ujumbe huu wa wokovu umeletwa kwetu.