Luka 12:58
Uwapo njiani na mshtaki wako kwenda kwa hakimu, jitahidi kupatana naye mkiwa njiani. La sivyo, atakupeleka kwa hakimu, naye hakimu atakukabidhi kwa afisa, naye afisa atakutupa gerezani.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
57“Kwa nini hamwamui wenyewe lililo haki?
59Nakuambia, hautatoka humo hadi uwe umelipa senti ya mwisho.”
Cross References
Genesis 32:3Yakobo akatuma wajumbe kumtangulia kwa Esau ndugu yake huko Seiri, katika nchi ya Edomu.
Job 22:21“Mjue sana Mungu ili uwe na amani, 2 ndipo mema yatakapokujia. 1
Job 36:17Lakini sasa umelemewa na hukumu kwa ajili ya uovu; 2 hukumu na haki vimekukamata. 1
Psalms 50:22“Yatafakarini haya, ninyi mnaomsahau Mungu, 2 ama sivyo nitawararua vipande vipande, 2 wala hapatakuwepo na yeyote wa kuwaokoa: 1
Proverbs 25:8usiharakishe kukipeleka mahakamani, 1 maana utafanya nini mwishoni 2 kama jirani yako atakuaibisha? 1
Matthew 5:23“Kwa hiyo, kama unatoa sadaka yako madhabahuni, ukakumbuka kuwa ndugu yako ana kitu dhidi yako,