bible.software › Luke › Luke 13 › Luke 13:20
Luke 13:20
Yesu akauliza tena, “Nitaufananisha Ufalme wa Mungu na nini?
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And again he said, Whereunto shall I liken the kingdom of God?
In Context
19Umefanana na punje ya haradali ambayo mtu aliichukua na kuipanda katika shamba lake. Nayo ikakua, ikawa mti nao ndege wa angani wakatengeneza viota vyao kwenye matawi yake.” 1 Mfano Wa Chachu (Mathayo 13:33)
21Unafanana na chachu ambayo mwanamke aliichukua akaichanganya katika kiasi kikubwa cha unga mpaka wote ukaumuka.” 1 Mlango Mwembamba (Mathayo 7:13-14, 21-23)
Read all of Luke 13
Cross References
Luke 13:18Kisha Yesu akauliza, “Ufalme wa Mungu unafanana na nini? Nitaufananisha na nini?
This Verse In Other Editions
Study Luke 13:20