The Bible Software
bible.softwareLukeLuke 13 › Luke 13:18

Luke 13:18

Kisha Yesu akauliza, “Ufalme wa Mungu unafanana na nini? Nitaufananisha na nini?

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Then said he, Unto what is the kingdom of God like? and whereunto shall I resemble it?

In Context

17Aliposema haya, wapinzani wake wakaaibika, lakini watu wakafurahi kwa ajili ya mambo ya ajabu aliyoyafanya. 1 Mfano Wa Punje Ya Haradali (Mathayo 13:31-32; Marko 4:30-32)

19Umefanana na punje ya haradali ambayo mtu aliichukua na kuipanda katika shamba lake. Nayo ikakua, ikawa mti nao ndege wa angani wakatengeneza viota vyao kwenye matawi yake.” 1 Mfano Wa Chachu (Mathayo 13:33)

Read all of Luke 13

Cross References

Matthew 13:24Yesu akawaambia mfano mwingine, akasema: “Ufalme wa Mbinguni unaweza kufananishwa na mtu aliyepanda mbegu nzuri katika shamba lake.

Mark 4:26Pia akawaambia, “Ufalme wa Mungu unafanana na mtu apandaye mbegu shambani.

Luke 7:31Yesu akawauliza, “Niwafananishe na nini watu wa kizazi hiki? Wanafanana na nini?

Luke 17:21wala watu hawatasema, ‘Huu hapa,’ au ‘Ule kule,’ kwa maana Ufalme wa Mungu umo ndani yenu.”

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Luke 13:18

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Luke 13:17Luke 13Luke 13:19 →