The Bible Software
bible.softwareLukeLuke 13 › Luke 13:30

Luke 13:30

Tazama, kunao walio wa mwisho watakaokuwa wa kwanza, nao wa kwanza watakaokuwa wa mwisho.” 1 Yesu Aomboleza Kwa Ajili Ya Yerusalemu (Mathayo 23:37-39)

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And, behold, there are last which shall be first, and there are first which shall be last.

In Context

29Watu watatoka mashariki na magharibi, kaskazini na kusini, nao wataketi kwenye sehemu walizoandaliwa karamuni katika Ufalme wa Mungu.

31Wakati huo huo baadhi ya Mafarisayo wakamwendea Yesu na kumwambia, “Ondoka hapa uende mahali pengine kwa maana Herode anataka kukuua.”

Read all of Luke 13

Cross References

Matthew 8:11Ninawaambia kwamba wengi watatoka mashariki na magharibi, nao wataketi karamuni pamoja na Abrahamu, Isaki na Yakobo katika Ufalme wa Mbinguni.

Matthew 20:16“Vivyo hivyo, wa mwisho watakuwa wa kwanza, na wa kwanza watakuwa wa mwisho.” 1 Yesu Atabiri Tena Kuhusu Kifo Chake (Marko 10:32-34; Luka 18:31-34)

Mark 10:31Lakini wengi walio wa kwanza watakuwa wa mwisho, na wa mwisho watakuwa wa kwanza.” 1 Yesu Atabiri Mara Ya Tatu Kufa Na Kufufuka Kwake (Mathayo 20:17-19; Luka 18:31-34)

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Luke 13:30

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Luke 13:29Luke 13Luke 13:31 →