Mathayo 20:16
“Vivyo hivyo, wa mwisho watakuwa wa kwanza, na wa kwanza watakuwa wa mwisho.” 1 Yesu Atabiri Tena Kuhusu Kifo Chake (Marko 10:32-34; Luka 18:31-34)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
So the last shall be first, and the first last: for many be called, but few chosen.
In Context
Cross References
Matthew 7:13“Ingieni kupitia mlango mwembamba, kwa maana lango ni pana na njia ni pana ielekeayo upotevuni, nao ni wengi waingiao kwa kupitia lango hilo.
Matthew 19:30Lakini wengi walio wa kwanza watakuwa wa mwisho, na walio wa mwisho watakuwa wa kwanza.
Matthew 22:14“Kwa maana walioitwa ni wengi, lakini walioteuliwa ni wachache.” 1 Kulipa Kodi Kwa Kaisari (Marko 12:13-17; Luka 20:20-26)
Luke 7:47Kwa hiyo, nakuambia, dhambi zake zilizokuwa nyingi zimesamehewa, kwani ameonyesha upendo mwingi. Lakini yule aliyesamehewa kidogo, hupenda kidogo.”
Luke 14:24Kwa maana nawaambia, hakuna hata mmoja wa wale walioalikwa atakayeionja karamu yangu.’ ” 1 Gharama Ya Kuwa Mwanafunzi (Mathayo 10:37-38)
Luke 17:17Yesu akauliza, “Je, hawakutakaswa wote kumi? Wako wapi wale wengine tisa?