The Bible Software
bible.softwareLukaLuka 14 › Luka 14:16

Luka 14:16

Yesu akamjibu, “Mtu mmoja alikuwa anaandaa karamu kubwa, akaalika watu wengi.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

Then said he unto him, A certain man made a great supper, and bade many:

In Context

15Mmoja wa wale waliokuwa pamoja naye mezani aliposikia hivi akamwambia Yesu, “Amebarikiwa mtu yule atakayekula katika karamu ya Ufalme wa Mungu!”

17Wakati wa karamu ulipofika, akamtuma mtumishi wake akawaambie wale walioalikwa, ‘Karibuni, kila kitu ki tayari sasa.’

Read all of Luka 14

Cross References

Proverbs 9:1Hekima amejenga nyumba yake; 2 amechonga nguzo zake saba. 1

Isaiah 25:6Juu ya mlima huu Bwana Mwenye Nguvu Zote ataandaa 2 karamu ya vinono kwa mataifa yote, 1 karamu ya mvinyo wa zamani, 2 nyama nzuri sana na divai zilizo bora sana. 1

Jeremiah 31:12Watakuja na kupiga kelele kwa furaha katika miinuko ya Sayuni; 2 watashangilia ukarimu wa Bwana: 1 nafaka, divai mpya na mafuta, 2 wana-kondoo wachanga 2 na ndama wa makundi ya ngʼombe nitakaowapa. 1 Watakuwa kama bustani iliyonyeshewa vizuri, 2 wala hawatahuzunika tena. 1

Matthew 22:2“Ufalme wa Mbinguni unaweza kufananishwa na mfalme mmoja aliyemwandalia mwanawe karamu ya arusi.

Luke 14:16Yesu akamjibu, “Mtu mmoja alikuwa anaandaa karamu kubwa, akaalika watu wengi.

Revelation 22:17Roho na bibi arusi wanasema, “Njoo!” Naye asikiaye na aseme, “Njoo!” Yeyote mwenye kiu na aje, na kila anayetaka na anywe maji ya uzima bure.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Luka 14:16

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Luka 14:15Luka 14Luka 14:17 →