bible.software › Luka › Luka 14 › Luka 14:19
Luka 14:19
“Mwingine akasema, ‘Ndipo tu nimenunua jozi tano za ngʼombe wa kulimia, nami ninakwenda kuwajaribu, tafadhali niwie radhi.’
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And another said, I have bought five yoke of oxen, and I go to prove them: I pray thee have me excused.
In Context
18“Lakini wote, kila mmoja, wakaanza kutoa udhuru: Wa kwanza akasema, ‘Nimenunua shamba, lazima niende kuliona. Tafadhali niwie radhi.’
20Naye mwingine akasema, ‘Nimeoa mke, kwa hiyo siwezi kuja.’
Read all of Luka 14
This Verse In Other Editions
Study Luka 14:19