Luke 14:20
Naye mwingine akasema, ‘Nimeoa mke, kwa hiyo siwezi kuja.’
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And another said, I have married a wife, and therefore I cannot come.
In Context
Cross References
Deuteronomy 24:5Kama mtu ameoa karibuni, kamwe asipelekwe vitani au kupewa wajibu mwingine wowote. Kwa mwaka mmoja atakuwa huru kubaki nyumbani ili amfurahishe mke aliyemwoa.
Luke 18:29Yesu akajibu, “Amin, nawaambia, hakuna hata mtu aliyeacha nyumba yake, au mke, au ndugu, au wazazi au watoto kwa ajili ya Ufalme wa Mungu
1 Corinthians 7:33Lakini mwanaume aliyeoa anajishughulisha na mambo ya dunia, jinsi ya kumfurahisha mkewe,