Luka 14:22
“Yule mtumishi akamwambia, ‘Bwana, yale uliyoniagiza nimefanya, lakini bado ipo nafasi.’
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And the servant said, Lord, it is done as thou hast commanded, and yet there is room.
In Context
Cross References
Psalms 130:7Ee Israeli, mtumaini Bwana, 2 maana kwa Bwana kuna upendo usiokoma, 2 na kwake kuna ukombozi kamili. 1
Acts 1:1Katika kitabu changu cha kwanza nilikuandikia, mpendwa Theofilo, kuhusu mambo yote Yesu aliyofanya na kufundisha tangu mwanzo,
Colossians 2:9Maana ukamilifu wote wa Uungu umo ndani ya Kristo katika umbile la mwili wa kibinadamu,
1 John 2:2Yeye ndiye dhabihu ya upatanisho kwa ajili ya dhambi zetu, wala si kwa ajili ya dhambi zetu tu, bali pia kwa ajili ya dhambi za ulimwengu wote.