Luke 14:6
Nao hawakuwa na la kusema. 1 Unyenyekevu Na Ukarimu
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And they could not answer him again to these things.
In Context
7Alipoona jinsi wageni walivyokuwa wanachagua mahali pa heshima wakati wa kula, akawaambia mfano huu:
Cross References
Matthew 22:46Hakuna mtu aliyeweza kumjibu Yesu neno. Tena tangu siku hiyo hakuna aliyethubutu kumuuliza tena maswali.
Luke 20:26Wakashindwa kumkamata kwa yale aliyokuwa amesema hadharani. Nao wakashangazwa mno na majibu yake, wakanyamaza kimya. 1 Ufufuo Na Ndoa (Mathayo 22:23-33; Marko 12:18-27)
Luke 21:15Kwa maana nitawapa maneno na hekima ambayo hakuna hata adui yenu mmoja atakayeweza kushindana nayo wala kuipinga.