Luka 20:26
Wakashindwa kumkamata kwa yale aliyokuwa amesema hadharani. Nao wakashangazwa mno na majibu yake, wakanyamaza kimya. 1 Ufufuo Na Ndoa (Mathayo 22:23-33; Marko 12:18-27)
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
27Baadhi ya Masadukayo, wale wasemao kwamba hakuna ufufuo wa wafu, wakamjia Yesu na kumuuliza,
Cross References
Proverbs 26:4Usimjibu mpumbavu sawasawa na upumbavu wake, 2 ama wewe mwenyewe utakuwa kama yeye. 1
Matthew 22:22Waliposikia hili, wakashangaa. Hivyo wakamwacha, wakaenda zao. 1 Ndoa Na Ufufuo (Marko 12:18-27; Luka 20:27-40)
Luke 13:17Aliposema haya, wapinzani wake wakaaibika, lakini watu wakafurahi kwa ajili ya mambo ya ajabu aliyoyafanya. 1 Mfano Wa Punje Ya Haradali (Mathayo 13:31-32; Marko 4:30-32)
Luke 20:39Baadhi ya walimu wa sheria wakasema, “Mwalimu, umesema sawasawa kabisa!”
2 Timothy 3:8Kama vile Yane na Yambre walivyopingana na Mose, vivyo hivyo watu hawa hupingana na ile kweli. Hawa ni watu wenye akili zilizopotoka, ambao wamekataliwa kwa mambo ya imani.