The Bible Software
bible.softwareLukeLuke 15 › Luke 15:13

Luke 15:13

“Baada ya muda mfupi, yule mdogo akakusanya vitu vyote alivyokuwa navyo, akaenda nchi ya mbali, na huko akaitapanya mali yake kwa maisha ya anasa.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And not many days after the younger son gathered all together, and took his journey into a far country, and there wasted his substance with riotous living.

In Context

12Yule mdogo akamwambia baba yake, ‘Baba, nipe urithi wangu.’ Hivyo akawagawia wanawe mali yake.

14Baada ya kutumia kila kitu alichokuwa nacho, kukawa na njaa kali katika nchi ile yote, naye akawa hana chochote.

Read all of Luke 15

Cross References

Job 21:13Huitumia miaka yao katika mafanikio 2 nao hushuka kaburini kwa amani. 1

Psalms 10:4Katika kiburi chake, mwovu hamtafuti Mungu, 2 katika mawazo yake yote 2 hakuna nafasi ya Mungu. 1

Proverbs 5:8Njia zenu ziwe mbali naye, 2 msiende karibu na mlango wa nyumba yake, 1

Proverbs 18:9Mtu aliye mlegevu katika kazi yake 2 ni ndugu na yule anayeharibu. 1

Proverbs 21:20Katika nyumba ya mwenye hekima 2 kuna akiba ya vyakula vizuri na mafuta, 1 lakini mtu mpumbavu 2 hutafuna vyote alivyo navyo. 1

Proverbs 27:8Kama ndege atangatangavyo mbali na kiota chake, 2 ndivyo alivyo mtu atangatangaye 2 mbali na nyumbani mwake. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Luke 15:13

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Luke 15:12Luke 15Luke 15:14 →