Luka 15:14
Baada ya kutumia kila kitu alichokuwa nacho, kukawa na njaa kali katika nchi ile yote, naye akawa hana chochote.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And when he had spent all, there arose a mighty famine in that land; and he began to be in want.
In Context
Cross References
2 Chronicles 33:11Hivyo Bwana akaleta juu yao majemadari wa jeshi la mfalme wa Ashuru, ambao walimchukua Manase kwenda kifungoni, wakaweka ndoana katika pua yake, wakamfunga kwa pingu za shaba na kumpeleka Babeli.
Hosea 2:9“Kwa hiyo nitachukua nafaka yangu wakati itakapokomaa 2 na divai yangu mpya wakati itakapokuwa tayari. 1 Nitamnyangʼanya sufu yangu na kitani yangu 2 iliyokusudiwa kufunika uchi wake. 1