The Bible Software
bible.softwareLukaLuka 15 › Luka 15:22

Luka 15:22

“Lakini baba yake akawaambia watumishi, ‘Leteni upesi joho lililo bora sana, tieni pete kidoleni mwake na viatu miguuni mwake.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

But the father said to his servants, Bring forth the best robe, and put it on him; and put a ring on his hand, and shoes on his feet:

In Context

21“Yule mwana akamwambia baba yake, ‘Baba, nimekosa mbele za Mungu na mbele yako. Sistahili kuitwa mwanao tena.’

23Leteni ndama aliyenona, mkamchinje ili tuwe na karamu, tule na kufurahi.

Read all of Luka 15

Cross References

Genesis 41:42Ndipo Farao akaivua pete yake ya muhuri kutoka kidoleni mwake na kuivalisha katika kidole cha Yosefu. Akamvika majoho mazuri ya kitani safi na mkufu wa dhahabu shingoni mwake.

Esther 3:10Basi mfalme alichukua pete yake ya muhuri kutoka kwenye kidole chake na kumpa Hamani mwana wa Hamedatha, Mwagagi, adui wa Wayahudi.

Psalms 18:33Huifanya miguu yangu kama miguu ya kulungu, 2 huniwezesha kusimama mahali palipo juu. 1

Psalms 132:9Makuhani wako na wavikwe haki, 2 watakatifu wako na waimbe kwa furaha.” 1

Song of Solomon 7:1Ee binti wa mwana wa mfalme, 2 tazama jinsi inavyopendeza miguu yako katika viatu! 1 Miguu yako yenye madaha ni kama vito vya thamani, 2 kazi ya mikono ya fundi stadi. 1

Ezekiel 16:9“ ‘Nilikuogesha kwa maji, nikakuosha ile damu na kukupaka mafuta.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Luka 15:22

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Luka 15:21Luka 15Luka 15:23 →