The Bible Software
bible.softwareLukaLuka 15 › Luka 15:23

Luka 15:23

Leteni ndama aliyenona, mkamchinje ili tuwe na karamu, tule na kufurahi.

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

And bring hither the fatted calf, and kill it; and let us eat, and be merry:

In Context

22“Lakini baba yake akawaambia watumishi, ‘Leteni upesi joho lililo bora sana, tieni pete kidoleni mwake na viatu miguuni mwake.

24Kwa maana huyu mwanangu alikuwa amekufa na sasa yu hai tena; alikuwa amepotea na sasa amepatikana!’ Nao wakaanza kufanya tafrija.

Read all of Luka 15

Cross References

Genesis 18:7Kisha Abrahamu akakimbia kwenda kwenye kundi, akachagua ndama mzuri, laini na akampa mtumishi, ambaye aliharakisha kumtayarisha.

Proverbs 9:2Ameandaa nyama na kuchanganya divai yake; 2 pia ameandaa meza yake. 1

Isaiah 65:13Kwa hiyo hili ndilo asemalo Bwana Mwenyezi: 1 “Watumishi wangu watakula, 2 lakini ninyi mtaona njaa; 1 watumishi wangu watakunywa 2 lakini ninyi mtaona kiu; 1 watumishi wangu watafurahi, 2 lakini ninyi mtaona haya. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Luka 15:23

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Luka 15:22Luka 15Luka 15:24 →