Luka 15:24
Kwa maana huyu mwanangu alikuwa amekufa na sasa yu hai tena; alikuwa amepotea na sasa amepatikana!’ Nao wakaanza kufanya tafrija.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
For this my son was dead, and is alive again; he was lost, and is found. And they began to be merry.
In Context
23Leteni ndama aliyenona, mkamchinje ili tuwe na karamu, tule na kufurahi.
Cross References
Genesis 45:28Ndipo Israeli akasema, “Nimesadiki! Mwanangu Yosefu bado yu hai. Nitakwenda nikamwone kabla sijafa.”
Isaiah 66:11Kwa kuwa mtanyonya na kutosheka 2 katika faraja ya matiti yake; 1 mtakunywa sana, 2 na kuufurahia wingi wa mafuriko ya ustawi wake.”
Ezekiel 34:4Hamkuwatia nguvu walio dhaifu wala hamkuwaganga wenye maradhi wala kuwafunga waliojeruhiwa. Hamkuwarudisha waliotangatanga wala kuwatafuta wale waliopotea. Badala yake mmewatawala kwa ukali na kwa ukatili.
Matthew 18:10“Angalia ili usimdharau mmojawapo wa hawa wadogo, kwa maana nawaambia, malaika wao mbinguni daima wanauona uso wa Baba yangu aliye mbinguni. [
Mark 8:22Wakafika Bethsaida na baadhi ya watu wakamleta mtu mmoja kipofu wakamsihi Yesu amguse.
Luke 15:4“Ikiwa mmoja wenu ana kondoo mia moja, naye akapoteza mmoja wao, je, hawaachi wale tisini na tisa nyikani na kwenda kumtafuta huyo aliyepotea mpaka ampate?