Luka 16:20
Hapo penye mlango wake aliishi maskini mmoja, jina lake Lazaro, mwenye vidonda mwili mzima.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And there was a certain beggar named Lazarus, which was laid at his gate, full of sores,
In Context
Cross References
Job 2:7Basi Shetani akatoka mbele za Bwana naye akampiga Ayubu kwa majipu mabaya tangu nyayo za miguu yake hadi utosi wa kichwa.
Psalms 73:14Mchana kutwa nimetaabika, 2 nimeadhibiwa kila asubuhi. 1
Jeremiah 8:22Je, hakuna zeri ya kuponya katika Gileadi? 2 Je, hakuna tabibu huko? 1 Kwa nini basi hakuna uponyaji 2 wa majeraha ya watu wangu?
Luke 18:35Yesu alipokuwa anakaribia Yeriko, kipofu mmoja alikuwa ameketi kando ya njia akiomba msaada.
Acts 3:2Basi palikuwa na mtu mmoja aliyekuwa kiwete tangu kuzaliwa. Alichukuliwa na kuwekwa kwenye lango la Hekalu liitwalo Zuri, kila siku ili aombe msaada kwa watu wanaoingia Hekaluni.
James 2:5Ndugu zangu, sikilizeni: Je, Mungu hakuwachagua wale walio maskini machoni pa ulimwengu kuwa matajiri katika imani na kuurithi Ufalme aliowaahidi wale wampendao?