Luke 16:21
Huyo Lazaro alitamani kujishibisha kwa makombo yaliyoanguka kutoka mezani kwa yule tajiri. Hata mbwa walikuwa wakija na kuramba vidonda vyake.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
20Hapo penye mlango wake aliishi maskini mmoja, jina lake Lazaro, mwenye vidonda mwili mzima.
Cross References
Mark 7:28Lakini yule mwanamke akamjibu, “Bwana, hata mbwa walio chini ya meza hula makombo ya chakula cha watoto.”
1 Corinthians 4:11Mpaka saa hii tuna njaa na kiu, tu uchi, tumepigwa na hatuna makao.