Luke 16:30
“Yule tajiri akasema, ‘Hapana, baba Abrahamu, lakini mtu kutoka kwa wafu akiwaendea, watatubu.’
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he said, Nay, father Abraham: but if one went unto them from the dead, they will repent.
In Context
29“Abrahamu akamjibu, ‘Ndugu zako wana Maandiko ya Mose na Manabii, wawasikilize hao.’
Cross References
Luke 13:3La hasha! Ninyi nanyi msipotubu, mtaangamia vivyo hivyo.
Luke 16:24Hivyo yule tajiri akamwita, ‘Baba Abrahamu, nihurumie na umtume Lazaro achovye ncha ya kidole chake ndani ya maji aupoze ulimi wangu, kwa sababu nina maumivu makuu kwenye moto huu.’