Luke 16:29
“Abrahamu akamjibu, ‘Ndugu zako wana Maandiko ya Mose na Manabii, wawasikilize hao.’
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Abraham saith unto him, They have Moses and the prophets; let them hear them.
In Context
28maana ninao ndugu watano. Awaonye, ili wasije nao wakafika mahali hapa pa mateso.’
30“Yule tajiri akasema, ‘Hapana, baba Abrahamu, lakini mtu kutoka kwa wafu akiwaendea, watatubu.’
Cross References
Isaiah 34:16Angalieni katika gombo la Bwana na msome: 1 Hakuna hata mmoja katika hawa atakayekosekana, 2 hakuna hata mmoja atakayemkosa mwenzi wake. 1 Kwa kuwa ni kinywa chake Mungu kimeagiza, 2 na Roho wake atawakusanya pamoja. 1
Luke 4:17naye akapewa kitabu cha nabii Isaya, akakifungua na kukuta mahali palipoandikwa: 1
Luke 24:27Naye akianzia na Sheria ya Mose na Manabii wote, akawafafanulia jinsi Maandiko yalivyosema kumhusu yeye.
John 5:47Lakini ikiwa hamwamini aliyoandika Mose, mtaaminije ninayoyasema?”
Acts 17:11Hawa Waberoya walikuwa waungwana zaidi kuliko wale wa Thesalonike, kwa kuwa waliupokea ule ujumbe kwa shauku kubwa na kuyachunguza Maandiko kila siku ili kuona kama yale Paulo aliyosema yalikuwa kweli.
2 Peter 1:19Nasi tunalo pia neno la hakika zaidi la unabii, ambalo mtafanya vyema mkiliangalia kwa bidii, kama vile nuru inavyongʼaa gizani, hadi kupambazuka na nyota ya asubuhi izuke mioyoni mwenu.