bible.software › Luke › Luke 16 › Luke 16:6
Luke 16:6
“Akajibu, ‘Galoni 800 + 16:6 Galoni 800 ni sawa na lita 4,000. za mafuta ya mizeituni.’ “Msimamizi akamwambia, ‘Chukua hati ya deni lako, ibadilishe upesi, uandike galoni 400.’
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
And he said, An hundred measures of oil. And he said unto him, Take thy bill, and sit down quickly, and write fifty.
In Context
5“Kwa hiyo akawaita wadeni wote wa bwana wake, mmoja mmoja. Akamuuliza wa kwanza, ‘Deni lako kwa bwana wangu ni kiasi gani?’
7“Kisha akamuuliza wa pili, ‘Wewe deni lako ni kiasi gani?’ “Akajibu, ‘Vipimo 1,000 + 16:7 Vipimo 1,000 ni kama magunia 100. vya ngano.’ “Yule msimamizi akamwambia, ‘Chukua hati yako, andika vipimo 800!’
Read all of Luke 16
Cross References
Luke 16:12Nanyi kama hamkuwa waaminifu na mali ya mtu mwingine, ni nani atakayewapa iliyo yenu wenyewe?
This Verse In Other Editions
Study Luke 16:6