Luke 16:7
“Kisha akamuuliza wa pili, ‘Wewe deni lako ni kiasi gani?’ “Akajibu, ‘Vipimo 1,000 + 16:7 Vipimo 1,000 ni kama magunia 100. vya ngano.’ “Yule msimamizi akamwambia, ‘Chukua hati yako, andika vipimo 800!’
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
Cross References
Song of Solomon 8:11Solomoni alikuwa na shamba la mizabibu huko Baal-Hamoni; 2 alikodisha shamba lake la mizabibu kwa wapangaji. 1 Kila mmoja angeleta kwa ajili ya matunda yake 2 shekeli 1,000 + 8:11 Shekeli 1,000 ni kama kilo 11.5. za fedha. 1
Luke 20:12Bado akamtuma na mwingine wa tatu, huyu pia wakamjeruhi na kumtupa nje ya shamba.