Luka 17:10
Vivyo hivyo nanyi mkiisha kufanya mliyoagizwa, semeni, ‘Sisi tu watumishi tusiostahili; tumefanya tu yale tuliyopaswa kufanya.’ ” 1 Yesu Atakasa Wakoma Kumi
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
9Je, huyo mtu atamshukuru mtumishi huyo kwa kutimiza yale aliyoamriwa?
11Yesu alipokuwa njiani akienda Yerusalemu, alipitia mpakani mwa Samaria na Galilaya.
Cross References
Job 22:2“Je, mwanadamu aweza kuwa wa faida kwa Mungu? 2 Je, hata mtu mwenye hekima aweza kumfaidi? 1
Psalms 16:2Nilimwambia Bwana, “Wewe ndiwe Bwana wangu; 2 pasipo wewe sina jambo jema.” 1
Proverbs 16:2Njia zote za mtu huonekana safi machoni pake mwenyewe, 2 bali makusudi hupimwa na Bwana. 1
Isaiah 64:6Sisi sote tumekuwa kama mtu aliye najisi, 2 nayo matendo yetu yote ya uadilifu ni kama matambaa machafu; 1 sisi sote tunasinyaa kama jani, 2 na kama upepo maovu yetu hutupeperusha. 1
Matthew 25:30Nanyi mtupeni huyo mtumishi asiyefaa nje, kwenye giza, mahali ambako kutakuwa na kilio na kusaga meno.’ 1 Kondoo Na Mbuzi
Romans 3:12Wote wamepotoka, 2 wote wameoza pamoja; 1 hakuna atendaye mema, 2 naam, hakuna hata mmoja.” 1