The Bible Software
bible.softwareRomansRomans 3 › Romans 3:12

Romans 3:12

Wote wamepotoka, 2 wote wameoza pamoja; 1 hakuna atendaye mema, 2 naam, hakuna hata mmoja.” 1

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

They are all gone out of the way, they are together become unprofitable; there is none that doeth good, no, not one.

In Context

11Hakuna hata mmoja mwenye ufahamu, 2 hakuna hata mmoja amtafutaye Mungu. 1

13“Makoo yao ni makaburi wazi; 2 kwa ndimi zao wao hufanya udanganyifu.” 1 “Sumu ya nyoka iko midomoni mwao.” 2

Read all of Romans 3

Cross References

Genesis 1:31Mungu akaona vyote alivyoumba, na tazama, ilikuwa vizuri sana. Ikawa jioni, ikawa asubuhi, siku ya sita.

Exodus 32:8Wamekuwa wepesi kugeuka na kuacha niliyowaamuru, na wamejitengenezea sanamu ya kuyeyusha yenye umbo la ndama. Wameisujudia na kuitolea dhabihu, nao wamesema, ‘Hii ndiyo miungu yenu, ee Israeli iliyokupandisha kutoka Misri.’ ”

Psalms 53:1Mpumbavu anasema moyoni mwake, 2 “Hakuna Mungu.” 1 Wameharibika, na njia zao ni za uovu kabisa, 2 hakuna hata mmoja atendaye mema. 1

Ecclesiastes 7:29Hili ndilo peke yake nililolipata: 2 Mungu amemuumba mwanadamu mnyofu, 2 lakini mwanadamu amebuni mambo mengi.”

Isaiah 59:8Hawajui njia ya amani, 2 hakuna haki katika mapito yao. 1 Wameyageuza kuwa njia za upotovu, 2 hakuna apitaye njia hizo atakayeifahamu amani. 1

Jeremiah 2:13“Watu wangu wametenda dhambi mbili: 2 Wameniacha mimi, 2 niliye chemchemi ya maji yaliyo hai, 1 nao wamejichimbia visima vyao wenyewe, 2 visima vilivyobomoka, visivyoweza kuhifadhi maji. 1

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study Romans 3:12

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← Romans 3:11Romans 3Romans 3:13 →