Luka 17:14
Alipowaona akawaambia, “Nendeni mkajionyeshe kwa makuhani.” Nao walipokuwa njiani wakienda, wakatakasika.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
13wakapaza sauti, wakasema, “Yesu, Bwana, tuhurumie!”
15Mmoja wao alipoona kwamba amepona, akarudi kwa Yesu, akimsifu Mungu kwa sauti kuu.
Cross References
Leviticus 14:1Bwana akamwambia Mose,
Isaiah 65:24Kabla hawajaita, nitajibu, 2 nao wakiwa katika kunena, nitasikia. 1
Matthew 8:3Yesu akanyoosha mkono wake akamgusa yule mtu, akamwambia, “Nataka. Takasika!” Mara yule mtu akatakasika ukoma wake.
John 2:5Mama yake akawaambia wale watumishi, “Lolote atakalowaambia, fanyeni.”
John 9:7Kisha akamwambia, “Nenda ukanawe katika bwawa la Siloamu.” (Siloamu maana yake ni aliyetumwa.) Ndipo yule kipofu akaenda, akanawa, naye akarudi akiwa anaona.