The Bible Software
bible.softwareJohnJohn 2 › John 2:5

John 2:5

Mama yake akawaambia wale watumishi, “Lolote atakalowaambia, fanyeni.”

Biblia (Kiswahili)

In The King James Version

His mother saith unto the servants, Whatsoever he saith unto you, do it.

In Context

4Yesu akamwambia, “Mwanamke, nina nini nawe? Saa yangu haijawadia.”

6Basi ilikuwepo mitungi sita ya kuhifadhia maji iliyotengenezwa kwa mawe kwa ajili ya kujitakasa kwa desturi ya Kiyahudi; kila mtungi ungeweza kuchukua vipipa viwili au vitatu. + 2:6 Kipipa kimoja chenye ujazo wa lita 40; hivyo kila mtungi ulikuwa na ujazo wa lita 80 au 120.

Read all of John 2

Cross References

Genesis 6:22Noa akafanya kila kitu kama vile Mungu alivyomwamuru.

Ruth 3:6Basi akashuka mpaka kwenye sakafu ya kupuria, akafanya kila kitu mama mkwe wake alichomwambia kufanya.

Luke 5:5Simoni akamjibu, “Bwana, tumefanya kazi ya kuchosha usiku kucha na hatukuvua chochote. Lakini, kwa neno lako nitazishusha nyavu.”

John 15:14Ninyi ni rafiki zangu mkifanya ninayowaamuru.

Hebrews 5:9na akiisha kukamilishwa, akawa chanzo cha wokovu wa milele kwa wote wanaomtii.

This Verse In Other Editions

King James VersionBíblia Almeida (Português)Luther Bibel (Deutsch)Bible Louis Segond (Français)Библия (Русский)聖經 (中文)성경 (한국어)聖書 (日本語)الكتاب المقدس (العربية)बाइबल (हिन्दी)Bibbia Diodati (Italiano)Alkitab (Bahasa Indonesia)Kinh Thánh (Tiếng Việt)

Study John 2:5

Matthew HenryJamieson-Fausset-BrownAdam ClarkeAlbert BarnesJohn WesleyJohn CalvinScofieldWilliam BurkittFamily Bible NotesThe Fourfold GospelJohn LightfootGeneva Bible Notes (1599)
← John 2:4John 2John 2:6 →