Luke 17:27
Watu walikuwa wakila na kunywa, wakioa na kuolewa, mpaka siku ile Noa alipoingia katika safina. Ndipo gharika ikaja na kuwaangamiza wote.
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
In Context
26“Kama ilivyokuwa siku za Noa, ndivyo itakavyokuwa katika siku za Mwana wa Adamu.
Cross References
Deuteronomy 6:10Wakati Bwana Mungu wako atakapokuleta katika nchi aliyowaapia baba zako, Abrahamu, Isaki na Yakobo, kukupa wewe, nchi kubwa, ina miji inayopendeza ambayo hukuijenga,
1 Samuel 25:36Abigaili alipokwenda kwa Nabali, alikuwa ndani ya nyumba yake akifanya karamu kama ile ya mfalme. Naye alikuwa ana furaha nyingi, akiwa amelewa sana. Kwa hiyo Abigaili hakumwambia mumewe kitu chochote mpaka asubuhi yake.
Isaiah 21:4Moyo wangu unababaika, 2 woga unanifanya nitetemeke, 2 gizagiza la jioni nililolitamani sana, 2 limekuwa hofu kuu kwangu. 1
Luke 12:19Nami nitaiambia nafsi yangu, “Nafsi, unavyo vitu vingi vizuri ulivyojiwekea akiba kwa miaka mingi. Pumzika; kula, unywe, ufurahi.” ’
1 Thessalonians 5:1Basi, ndugu, kwa habari ya nyakati na majira hatuna haja ya kuwaandikia,