bible.software › Luke › Luke 17 › Luke 17:32
Luke 17:32
Mkumbukeni mke wa Loti!
Biblia (Kiswahili)
In The King James Version
Remember Lot’s wife.
In Context
31Siku hiyo, mtu yeyote aliye juu ya dari ya nyumba yake, hata vitu vyake vikiwa ndani ya hiyo nyumba, asishuke kuvichukua. Vivyo hivyo mtu aliye shambani asirudi nyumbani kuchukua chochote.
33Mtu yeyote anayejaribu kuyaokoa maisha yake atayapoteza, na yeyote atakayeyapoteza maisha yake atayaokoa.
Read all of Luke 17
Cross References
Genesis 19:26Lakini mke wa Loti akatazama nyuma, hivyo akawa nguzo ya chumvi.
Hebrews 10:38Lakini mwenye haki wangu 2 ataishi kwa imani. 1 Naye kama akisitasita, 2 sina furaha naye.”
This Verse In Other Editions
Study Luke 17:32